Nina uhusiano wa kimapenzi na wasichana Wawili na kunamwingine bado namfuatilia lakini natamani niache ujinga huo ukizingatia nina mke na watoto, ila nimeshindwa.
Huwa naamua kuwa kuanzia sasa basi sitaki tena, baadae nikikutana na mmoja wao naanza yale yale au wakati mwingine akinipigia simu mmoja wao najikuta nimeingilika.
Nisaidieni niachane na uchafu huo maana nimeufanya sana ila sijaona faida yake tena kuna mmoja yeye anataka aliwe ndio nazidi kuchanganyikiwa na hana shida kivile na hela yangu. Msaada waungwana.

Ninyi nyote mnahitaji kumpokea Yesu na huo ugonjwa utapona mara moja.Mkuu na mimi ninaugonjwa huo ninae mke mzuri tu na watoto watatu lakini ninamichepuko kama sita yote ni ya kudumu kweli wakuu tusaidieni
Nina uhusiano wa kimapenzi na wasichana Wawili na kunamwingine bado namfuatilia lakini natamani niache ujinga huo ukizingatia nina mke na watoto, ila nimeshindwa.
Huwa naamua kuwa kuanzia sasa basi sitaki tena, baadae nikikutana na mmoja wao naanza yale yale au wakati mwingine akinipigia simu mmoja wao najikuta nimeingilika.
Nisaidieni niachane na uchafu huo maana nimeufanya sana ila sijaona faida yake tena kuna mmoja yeye anataka aliwe ndio nazidi kuchanganyikiwa na hana shida kivile na hela yangu. Msaada waungwana.
We hunishindi mimi kwa uzinzi. Mpaka sasa siikumbiki idadi ya michepuko yangu. Wengine nakuta namba za simu kwenye simu yangu ila siwakumbuki mpaka nikutane nao ndo nawakumbika. Na kushauri tuendeleze kuwachapa tu
Ungekuwa mwanamke ungeshutumiwa sana na hata kuuitwa malaya au maji mara moja au harage la mbeya. Ila kwa kuwa ni mwanaume noana unashauriwa kiupole. Hizo ni tamaa na roho ya uzinzi au kwa lugha stahiki ni umalaya. Acha kupokea simu zao wala kujibu ujumbe. Tafuta njia za kuwakorofisha ili wakuchukie na kuachana na wewe.