Msaada: Nifanyeje ili kumrudisha mpenzi aliyeniacha au avutiwe tena na mimi siku akiniona?

Inategemea amekuacha kwa sababu zipi, Cha msingi jipende zaidi na jibidiishe katika kazi uwe na maendeleo...
 
Usisikitike bro. Mshukuru Mungu wako amekuepusha na balaa flani usilolijua amablo lingesababishwa na huyo aliyekuacha.Songa mbele utampata mke anayekufaa atakaye kupenda kwa dhati
 
Hivi msela una shughuli rasmi kweli? Kama huna jibidiishe upate kitu cha kuku keep busy hata kama ni kujitolea au ku tag ubavu golini kwa mtu!

Af mademu wanaozinguaga wahuni huwaga "vitoko" tu! Unakuta demu mmbovu kisefenge ila unamlilia stop that my friend. Hakuwa real nawewe huyo qooma,,,mpotezee man!

We ni wa thamani kuliko yeye ndio maana akajiengua. Tia hilo akilini af songa mbele mzee. Siku unapata demu mwengine mkali kinoma huyo mbuzi atajirudisha speed akiwa analia umsamehe. Wala usitumie nguvu we kauka tu! Mambo mazuri yako mbele af kaza kamba.

Kama ni mpenzi wa kujisomea tafta makala za Dan Bacon google ujifunze how to be a Man! Utasahihisha makosa yako na next time utajua uishi vipi na mwanamke ili asilete uxenge big time. Naona kuna makosa mengi ulishayafanya but ishi humo. The Modern Man ndio website ya jamaa. Thank me later! MSELA WA MANZESE
 
Tangu nimeachwa na mpenzi wangu nimekuwa nikipitia wakati mgumu kidogo kila nikifikiria sababu zilizimfanya mpenzi wangu kuniacha ambae tuliwekeana malengo .

Ukweli ni kwamba huyu mdada bado ninampenda sijui nifanye nini ila nawaza ni jinsi gani ninaweza kumrudisha mpenzi wangu aliyeniacha nifanye nini ?

Au ikitokea siku tumeonana au tumekutana nataka niweje ili aweze kuvutiwa na mimi akiniona ajione kama alifanya makosa kuniacha au apate wazo la kunirudia mimi
Una kazi? Una gari?
 
Tafuta Fedha na Tunza Fedha mengne achana nayo yatakuumiza kichwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom