Msaada: Nifanyaje nimfikishe kileleni?

Msaada: Nifanyaje nimfikishe kileleni?

Acha kula chips kijana, utapata tabu sana kwa staili hiyo ya chips yai kila siku.
asa
Jiamini mkuu yote yanawezekana,jambo la msingi jitahidi sana kumuandaa mwenzako usimparamie kama kuku na kama unajiflhusisha na must-erbation* acha kabisa huo mchezo mchafu.
asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom