Kabiiiiiiiiiiisa
DNA haisomi kwa mimbaAnza tu kuongelea habari za Prenatal DNA testing kama stori ya kawaida tu ya maendeleo ya teknolojia. Binti akisikia tu neno DNA akaanza kupaniki au kuleta sababu zisizo eleweka kupinga, that is a huge red flag!
Sijamanisha hivyo, rudia kusoma.DNA haisomi kwa mimba
Utamletea stress bure hadi mimba itokeSijamanisha hivyo, rudia kusoma.