MSAADA: Niende wapi, Tunduma au Mbeya Mjini?

Joined
Oct 25, 2021
Posts
98
Reaction score
99
Hello wakuu,
Nafikiria kufungua biashara ya vifaa vya ujenzi vidogo vidogo na sio materials kubwa.

Naelewa Mbeya mjini ni mji mkubwa zaidi ya Tunduma, ila bado ni miji tofauti kifursa na biashara.

So ni mji gani kati ya hiyo miwili zenye mzunguko mzuri wa pesa kukidhi biashara yangu nayoanza, sehemu ambayo italea aina ya biashara nayotaka kufanya na sehemu ilio promising kuikuza biashara yangu huko mbeleni.

Nasubira mawazo yenu.
 
Sitakua na maelezo mengi sana ya pendekezo langu, lakini kwa hayo uliyoyasema nashauri uende Tunduma
 
Hello wakuu,
Nafikiria kufungua biashara ya vifaa vya ujenzi vidogo vidogo na sio materials kubwa.

Naelewa Mbeya mjini ni mji mkubwa zaidi ya Tunduma, ila bado ni miji tofauti kifursa na biashara.

So ni mji gani kati ya hiyo miwili zenye mzunguko mzuri wa pesa kukidhi biashara yangu nayoanza, sehemu ambayo italea aina ya biashara nayotaka kufanya na sehemu ilio promising kuikuza biashara yangu huko mbeleni.

Nasubira mawazo yenu.

Ulifikia wapi na wazo lako?
 
Back
Top Bottom