Msaada: Nielekeze Jinsi Ya Kufanya Network Unlocking TECNO N2

Pole sana na hongera sana but kwa simu za chipset ya mtk huwa tunaunclock kwa NCK BOX au NCK CRACK
Nazitofautishaje mkuu? Maana nimejaribu hiyo NCK Crack ila bado simu haijakubali..

Msaada wa software nyingine.. natumia simu ya TECNO R6.. Hizi za tigo
 
siyo kila simu utaaunlock kwa kutumia nck crack nyingine zinahitaji firmware unlocked au upate box la nck kwa 100% itaunlock simu yako bila shida .
 
Okay, means niki flash kwa kutumia unlocked software inasaidia sio?
 
siyo inasaidia i hope utafanikiwa maana huwezi bahatisha ukimaliza kuflash kwa firmware ambayo ipo unlockex na tyr utakuwa huru kuweka laini utakayo .
 
Back
Top Bottom