The_Gooner14
Member
- Feb 28, 2024
- 5
- 1
NIDA inafungiwaje? Hebu towa maelezo.Habari. Jana nilikuwa nataka kusajiri line mpya ila imenigomea naambiwa namba ya NIDA imezuiliwa naomba msaada kwa mwenye uzoefu nifanye ili nida yangu ifunguliwe. Na ni mitandao miwili tu niliyosajiria nida yangu VODA NA AIRTEL
Nimekwenda sehemu wanaposajiri line, nilitaka kusajiri line ya halotel mhusika baada ya kuanza process mhusika akaniambia namba yangu ya nida imefungiwa hivyo siwezi sajiri line mpyaNIDA inafungiwaje? Hebu towa maelezo.
Aisee!!!!NIDA inafungiwaje? Au uliipata kimagumashi wewe siyo raia?
Kupata NIDA ni mpaka uwe raia sasa ukiona imefungiwa kuna walakini.Aisee!!!!
Imeizuiliwa kusajiri line mpyaUkitaka kusajili inaandikaje mkuu?
Angalia namba zilizosajiliwa kwa hiyo NIDA yako Mkuu, usishangae ukakuta namba mpya ujue huyo mhudumu kakuchezea mchezo kasajili line za kuwapa wale jamaa wa tuma kwa namba hii.Nimekwenda sehemu wanaposajiri line, nilitaka kusajiri line ya halotel mhusika baada ya kuanza process mhusika akaniambia namba yangu ya nida imefungiwa hivyo siwezi sajiri line mpya
Yeah na maximum no kw@ kila mtandao ni laini 5 nadhani kwa NIDA kusajili..Angalia namba zilizosajiliwa kwa hiyo NIDA yako Mkuu, usishangae ukakuta namba mpya ujue huyo mhudumu kakuchezea mchezo kasajili line za kuwapa wale jamaa wa tuma kwa namba hii.
Nida yangu mkuu inaonesha namba mbili tu nilizosajiri na ndio ninazo tumia. Now naenda ofisi zao nijue tatizoHuyu ajafungiwa NIDA, ila ameshindwa kutoa maelezo sahihi ya kilichomkuta.
Nimehisi, Namba zake za NiDA zimefikia kiwango cha mwisho cha kusajili line kwa ajili ya matumizi ya simu, inaonekana anasajili line zake vichochoroni au kwa vijana wapita barabarani.
Hivyo, wakatumia NIDA namba zake kusajili watu asio wajue.
Abonyeze *106# kuhakikisha je, namba zilizosajiliwa na NIDA yake ni hizo anazotumia au kuna ambazo hazijui, kama zipo azifute mwwnyewe, walizonazo zitakoma matumizi.
Akishindwa afike kwenye mitandao husika ya hizo namba ambazo hazitambui, wamsaidie kuziondoa.
Asante