Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
Ok! Mi Ni mzoefu wa hizi kazi kwa hapo camera Ni canon 5D markivNahitaji kuagiza Alibaba kamera ya kupiga picha za mnato na video namm sio mzoefu sana ila kwakua najifunza nimeona ni bora niwashilikishe....
Walimu wanajuaje vitu hivi malofer waleUngewasikiliza vizuri walimu wako wa somo la fizikia leo usingekuja hapa kutia huruma.
Anyway, walimu ngoja waje wakukaange
Toa sababu sio unaongea maneno matupu tuOk! Mi Ni mzoefu wa hizi kazi kwa hapo camera Ni canon 5D markiv
Ina uwezo kuliko hyo Nikon
Kwakua nipo bongo ni bora nichukue nikon sindioPicha hizo ndivyo hvyo hvyo zinavouzwa na lenz zake au ni mfano tu umeweka
Kwa Video CANON kuna vitu imeipita NIKON kiasi....
Toa sababu kwann Canon nasio nikon, hiyo nikon D850 usiichukulie poa mjombaCanon ni nzuri zaidi...
Kama mfuko unaruhusu chukua na prime lens zako 3 (35mm/50mm/85) kazi inakuwa imeisha.
Hii kamera bongo nzima hupati
Yap 7bu kuu utunzaji wa batteryKwakua nipo bongo ni bora nichukue nikon sindio
Zote ni 4k mjombaYap 7bu kuu utunzaji wa battery
Na PICHA mnato nzuri QUALITY
wabongo wanapenda sana PICHA kuliko VIDEO
na kwa picha hiyo NIKON ndio yenyewe
Ila kwa VIDEO CANON hiyo ipo JUU kwenye 4K feature zake ni nzuri ambapo NIKON haifikii
Million nane Mpya na Lenz yake 18 - 140 Kwa nikon d850Bei zake zikoje hizo camera!?