Pole sana Sisame,nilikua na bleed mpaka mwezi,nikaambiwa ni Hormonal imbalance,ila lilivyozidi wakaniwekea coil huko kwa bibi,sasa hivi napeta tu,sibleed kabisa,sasa sijui na wewe tatizo lako kama langu?kama unableed sana nakushauri umuone daktari wa magonjwa ya wanawake