Msaada: Ni wapi nitapata mashine za kufanyia labling?

magee

Senior Member
Joined
Jun 3, 2009
Posts
130
Reaction score
21
Habari wanajukwaa,naomba msaada wa wapi naweza pata mashine za kufanyia labling kwenye nguo za cotton na hasa mashine za kufumia lable kwenye masweta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…