Msaada: Ni ofisi gani naweza pata idadi ya wafanyakazi wa serikali katika wilaya husika

sundoka

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
2,067
2,759
Habari za kazi wapendwa,

Naomba kujuzwa haya ndugu zangu:
1.Ni ofisi gani ninaweza kupata idadi ya watumishi wa serikali katika wilaya husika
2. Ni ofisi gani naweza pata idadi ya taasisi za umma(public institutions) zilizopo katika wilaya husika.
3. Ni microfinance zipi zinakopesha wafanyakaz wa serikali hapa Tz.

Ahsante wadau
 
wewe ndo umepewa kazi ya kufatilia "GHOST WORKERS"??? mfate paul makipepeo ndo anajua.
 
duh kaka u wana go too far.
let us know first who are you.
Jamani sitaki nyie mniambie hizo idadi jamani. Mi nataka kujua resiponsible offices ili nikafike hiko. Nipo kwenye research wakuu. Msaada plz
 
Habari za kazi wapendwa,

Naomba kujuzwa haya ndugu zangu:
1.Ni ofisi gani ninaweza kupata idadi ya watumishi wa serikali katika wilaya husika
2. Ni ofisi gani naweza pata idadi ya taasisi za umma(public institutions) zilizopo katika wilaya husika.
3. Ni microfinance zipi zinakopesha wafanyakaz wa serikali hapa Tz.

Ahsante wadau
Nenda kaonane na afisa utumishi wa wilaya husika
 
Uende na kibali chako.cha research bila hivyo tegemea kutosikilizwa shida yako
 
Habari za kazi wapendwa,

Naomba kujuzwa haya ndugu zangu:
1.Ni ofisi gani ninaweza kupata idadi ya watumishi wa serikali katika wilaya husika
2. Ni ofisi gani naweza pata idadi ya taasisi za umma(public institutions) zilizopo katika wilaya husika.
3. Ni microfinance zipi zinakopesha wafanyakaz wa serikali hapa Tz.

Ahsante wadau
HONGERA! KUHUSU KUKOPESHA WAFANYAKAZI KILA TAASISI INAINGIA NA MKATABA KWA IYO WIZARA YA FEDHA HUTYOA MIONGOZO KWA WAKOPESHAJI ILA PIA TAMISEMI AU TAASISI NYINGINE AMBAZO ZIMEANZISHWA KWA SHERIA YA BUNGE ZINAWEZA KUWA NA MIKATABA NA WAKOPESHAJI HIVYO SIO UNIFORM WILAYA ZOTE.
IDADI YA WATUMISHI WA UMMA KM IPO NCHINI YA TAMISEMI NENDA KWA AFISA UTUMISHI WA WILAYA ILA KM UNATAKA WOTE SIO WOTE CHINI YA MAMLAKA MOJA MFANO KUNA TAKUKURU USALAMA WA TAIFA,TAASISI ZA SERIKALI KUU NK(HAPA INAHITAJI MUDA NA KUIONA MAMLAKA HUSIKA MOJA BAADA YA NYINGINE TENA NYINGINE HUWA HAWAPOKEI ZILE BARUA ZIMEANDIKWA KWA YEYOTE ANAEHUSIKA)
MKUU MFUMO WA KUTOA TAARIFA NA KUPEWA MAELEKEZO HAUKO WAZI KWA MTU WA NJE MFANO KUNA WENGINE ITABIDI UMUONE DAS,AFISA UTUMISH HALMASHAURI , WENGINE........
KAKA KWA MUONGOZO HAPO JUU NAHISI UMEPATA PA KUANZIA
 
kwa Mujib wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012,

kuna saccos 4,845 nchini
kuna microfinance 170 zenye matawi 486 nchini,
kuna mabenki 52 yenye matawi 609 nchini,
kuna watu 366,125 waliojiriwa katika sekta ya elimu.
kuna watu 708,365 walioajiriwa serikalini.
nmb bank ina wateja 1,800,000., wateja 1,200,000 wanatumia kadi za benki (atm card)

kwa data zaidi tuwasiliane.

napatikana 0655308308, email:wigotz@gmail.com
 
Back
Top Bottom