hii story yakumvalisha mtu pete mbna haipo kule dahWanajukwaa habari zenu,
Kuna jambo nahitaji msaada wenu, mimi weeknd hii nina kwenda kutoa mahari ya kumchumbua binti X ndugu zangu wote muhim watakwepo, sasa nawaza kumvalisha na pete kabisa.
Swali nimvalishe pete siku ya kutoa mahari au nitafute siku ingine special?
Nisaidieni hili wakuu