Msaada ni muda gani sahihi wa kumvalisha Pete ya Uchumba?

Wanajukwaa habari zenu,

Kuna jambo nahitaji msaada wenu, mimi weeknd hii nina kwenda kutoa mahari ya kumchumbua binti X ndugu zangu wote muhim watakwepo, sasa nawaza kumvalisha na pete kabisa.

Swali nimvalishe pete siku ya kutoa mahari au nitafute siku ingine special?

Nisaidieni hili wakuu
hii story yakumvalisha mtu pete mbna haipo kule dah
 
Back
Top Bottom