Msaada: Ni Mara yangu ya kwanza ku install Windows, nimekwama

Hilo tatizo huwa ni flash ndo huwa haiko detected vizuri.

Ukianza kuinstall windows inaanza vizuri na wakati zile process zinaenelea ikiwemo kujirestart ili kuendelea na hatua flani, flashi inashindwa kuwa detected.

Hiyo ni kwa baadhi ya flash siyo kwamba ni zote.

Nilikuwaga na SanDisk ile ya plstic nyekundu ilikuwaga nzuri sana kwa kupigia windows. Na ilipokufa ndo nilianza kukutana na madudu kama hayo.

Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom