DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,150
Naombeni msaada juu ya maelezo ya jinsi ya kupata mbegu ya ng'ombe kutoka shamba la kitulo lililopo Makete-Njombe ikiwa ni pamoja na bei yake kulingana na umri na kama naweza pata mawasiliano yao nitashukuru.
Ahsanteni.
Ahsanteni.