Msaada .NET Programmer

Msaada .NET Programmer

Hadoop

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
88
Reaction score
15
Wandugu, .NET membership database inafanya kazi vizuri kwenye local server, lakini nikiupload kwenye host server inakataa kuprocess login and register functions, then "Invalid value for key 'attachdbfilename'." error inatokea.


Connection string katika local server iko hivi:< add name="DefaultConnection" providerName="System.Data.SqlClient" connectionString="Data Source=(LocalDb)\v11.0;Initial Catalog=aspnet-mycompany-20120805225533;Integrated Security=SSPI;AttachDBFilename=|DataDirectory|\aspnet-mycompany-20120805225533.mdf" />

Nimejaribu kubadilisha setting za connection string nimeshindwa kutatua tatizo.
 
Pole sana kwa muda mrefu maana sijatembelea hapa muda mrefu
This is the security problem
1. Are you using website or window application?
2. The database and application are in the same computer?
3. Do not use windows authentication just create user in the database then use the user.
Nipe maelezo zaidi ili niweze kukusaidia.

Poa.
 
Local server na host wako zitakuwa zina version tofauti za SQL Server, itabidi ubadili connection string kulingana na version ya SQl Server ya host wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom