E eddiecudo Member Joined May 8, 2013 Posts 13 Reaction score 8 Oct 17, 2020 #1 Nimetokwa vipele hivi sijui shida nini maana kama tetekuwanga nilishawahu kuugua nikiwa mdogo na kama wasemavyo tetekuwanga hairudi mara mbili. Haviumi ila vikitumbuka vinawasha.
Nimetokwa vipele hivi sijui shida nini maana kama tetekuwanga nilishawahu kuugua nikiwa mdogo na kama wasemavyo tetekuwanga hairudi mara mbili. Haviumi ila vikitumbuka vinawasha.
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,190 Reaction score 34,526 Oct 17, 2020 #2 Nenda hospital
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,582 Oct 17, 2020 #3 Unaweza kuwa ni mmoja wa watu tetekuwanga ikakurudia. Wahi kituo cha afya kilicho karibu.
E eddiecudo Member Joined May 8, 2013 Posts 13 Reaction score 8 Oct 17, 2020 Thread starter #4 Kichwa Kichafu said: Unaweza kuwa ni mmoja wa watu tetekuwanga ikakurudia. Wahi kituo cha afya kilicho karibu. Click to expand... Nashukuru ndugu ntafanya ivo kesho mapema kabisa
Kichwa Kichafu said: Unaweza kuwa ni mmoja wa watu tetekuwanga ikakurudia. Wahi kituo cha afya kilicho karibu. Click to expand... Nashukuru ndugu ntafanya ivo kesho mapema kabisa
E eddiecudo Member Joined May 8, 2013 Posts 13 Reaction score 8 Oct 17, 2020 Thread starter #5 Madame S said: nenda hospital Click to expand... Sawa sawa ngoja nifanye ivo
Mwanakulipata JF-Expert Member Joined Jul 17, 2018 Posts 718 Reaction score 1,204 Oct 18, 2020 #6 Mh emu nenda hospital
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,529 Reaction score 89,054 Oct 22, 2020 #7 Ushimen said: Polesana mkuu.... Lamsingi, anza kula vizuri, pumzisha mwili wako, fanya mazowezi na ukule mashudu kwa wakati..... Naomba niishie hapa mkuu, maana inasikitisha sana.... Click to expand... 😂😂
Ushimen said: Polesana mkuu.... Lamsingi, anza kula vizuri, pumzisha mwili wako, fanya mazowezi na ukule mashudu kwa wakati..... Naomba niishie hapa mkuu, maana inasikitisha sana.... Click to expand... 😂😂
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,320 Reaction score 111,490 Oct 22, 2020 #8 Mariki boy said: Apo kwenye Mashudi sasa [emoji3553][emoji3553][emoji24][emoji24][emoji24] Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Avumilie tu, maana yeye sio wakwanza...[emoji41][emoji41]
Mariki boy said: Apo kwenye Mashudi sasa [emoji3553][emoji3553][emoji24][emoji24][emoji24] Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Avumilie tu, maana yeye sio wakwanza...[emoji41][emoji41]