Msaada ndugu zangu mwenzenu naangamia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada ndugu zangu mwenzenu naangamia

Discussion in 'JF Doctor' started by Kaka mwisho, Aug 16, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nasumbuliwa na uume wangu yaani unasinyaa nakuwa mdogo na mgumu ukiambatana na miguu kuwa kama misuli inavuta na maumivu makali ya mgongo na kiuno. Nimepima magonjwa ya zinaa sina, x-ray hakuna tatizo. Hizi ni dalili za ugonjwa gani na tiba yake nini.?
   
Loading...