Msaada ndugu yangu

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Mambo vp
kuna binti mmoja nimejuana nae tu chuoni kivilee lakini cha kushangaza naona ananipima imani sijui anamanisha nn kila wakati tukiwa nae ananiambia anampenda sana mtu flani hadi anashindwa kulala hata akiwa drsn anamuona ubaoni yani kila nikikaanae ni hayo tu anaongea anasema amechanganyikiwa nae hajiwezi kila kimwambambia mtaje anazengua zengua NA KUANZA KUREMBUA KUANGALI CHINI hadi saivi namkwepa
cjui nn hapo
 
Mtu fulani? ni nani zaidi yako hapo; Huwa hawasemi lakini huyu kasema. Kazi ni kwako.
 
Na hata akishika glasi yenye maji anamuona kwenye maji, yuko sawa huyo binti

Ujue hapo ndio ameanza kupevuka akikua ataacha, yaani hapo yupo kwenye wendawazimu wa hali ya juu linapokuja swala la mahaba
 
Peleka fb basi naona hapa hata kujibu wanaona uvivu.
 
ameshakuona umeka ki pompolipompopo..,yani huna madhara. Unatuaibisha hapa
 
acha ujinga wewe kwa hiyo unataka tukuambie una zali.hovyoooo.unasoma darasa la pili au latatu
 
Huo utoto me ngekuwa nimemkamua kitambo xana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…