Msaada ndugu watumiaji wa Adobe Premiere Pro

Gentleman96

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
912
1,666
Habari za wakati,

Nimekuwa nikitumia ADOBE PREMIERE PRO kuedit video zangu lakini siku hizi kama week au zaidi,

1. Nikiwasha laptop inakuwa nzito kuwaka
2. Nikifungua ADOBE pia inasumbua na inaleta ujumbe huo kwenye picha
3. Nyimbo, video, picha, zinapotea bila kufutwa

Naomba msaada hapo

20200205_214636.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka bando la nguvu. Install driver booster kisha una irun driver booster ukiwa online. Driver booster itaweka hiyo driver mpya.
 
Ingia kwenye website ya PC unayotumia Kama ni hp unasearch hp drive, alafu unadownload drive hapo sio kwingine, pia usisahau kuscan ant virus.
 
Naona unatumia Premeire ya 2019 but seems like your laptop ni ya kitambo sana. Ku run premiere series from 2018 up to-date unaitaji pia latest Nvidia drivers. Nawee bado inatumia intel R!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom