dvedastuss
Member
- Apr 3, 2014
- 35
- 11
Mpaka sasa bado hajaingia kwenye mahusiano mengine
Anamfikiria sana ex wake ndio maana hamuondoki ndotoni,ndoto ni outcome ya matendo yetu ya mchana .Inaonekana hajaridhika au haridhishwi na mahusiano ya sasa kwenye maeneo hayo ndio maana anamfikiria ex wake na hatimae kumuota!
6*6….🙂Ha ha haaa hajaridhika maeneo gani ati!!!!
mwambie avunje ukimya, azungumze na X wake iwe kama zamani
6*6 .🙂
Usitudanganye itakua ni wewe,acha kumuwaza.
Kuna rafiki yangu aliachana na mume wake yapata miezi nane sasa tangu watengane,lakini rafiki yangu huyu ni wa kike anasumbuliwa sana na ndoto yakuwa anajiwa na mr wake huyo tena akiwa anashiriki tendo la ndoa je afanyeje ili hii ndoto iache kwani kila mara inamjia.
Aende kanisani akaombewe, atakuwa ana jiniKuna rafiki yangu aliachana na mume wake yapata miezi nane sasa tangu watengane,lakini rafiki yangu huyu ni wa kike anasumbuliwa sana na ndoto yakuwa anajiwa na mr wake huyo tena akiwa anashiriki tendo la ndoa je afanyeje ili hii ndoto iache kwani kila mara inamjia.
Asante zenu wote kwa mawazo na ushauri kwani yapo yalompa faraja,tabasam na hata uzuni ila ameshukuru