dvedastuss
Member
- Apr 3, 2014
- 35
- 11
Kuna rafiki yangu aliachana na mume wake yapata miezi nane sasa tangu watengane,lakini rafiki yangu huyu ni wa kike anasumbuliwa sana na ndoto yakuwa anajiwa na mr wake huyo tena akiwa anashiriki tendo la ndoa je afanyeje ili hii ndoto iache kwani kila mara inamjia.