Msaada nawezaje kurudisha picha zilizofutwa kweny simu

Kila android device naamini ina application ya GOOGLE PHOTOS, ingia kwenye hiyo app then sign in kwa email yako halafu iruhusu iwe inafanya Auto-back up (unaweza zuia back up ya videos - kupunguza matumizi makubwa ya data)
Hapo inakusaidia kila picha mpya ukipiga inaenda jisave yenyewe google photos me ndo nayoitumia.
 
Yaani ukiwasha data tu MB zinatembea
 
Yaani ukiwasha data tu MB zinatembea
Hapana haina ulaji mkubwa wa Mb yenyewe ita backup zile ambazo haijazifanyia back up tu!..
Ulaji upo iwapo utaruhusu iback up na video ambazo zinakuaga na size kubwa
 
umesha fanikiwa
Habar ya humu kama kichwa kinavyojieleza naomba mnipe maelezo wapendwa nilimpa sim yangu mdog wangu siku futa chochote nilivyompa sasa akawa anatak kutumia wasap kwa namb yake nikamuelekza kweny setting ya wasap abadil namb atoe yangu aweke yake
Sijiu kafanyaje fanyaje kabadilisha account kabisa sasa picha zangu zimefutika zote Kwa yotote anaeweza anipe maelekez kama kuna uwezekano wa kuzirudisha
Polen kwa uandish mbay sipo vizur sana kwenye uandish nawasilisha
 
Back
Top Bottom