Msaada nawezaje kurudisha picha zilizofutwa kweny simu

ukhuty

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
16,851
41,923
Habar ya humu kama kichwa kinavyojieleza naomba mnipe maelezo wapendwa nilimpa sim yangu mdog wangu siku futa chochote nilivyompa sasa akawa anatak kutumia wasap kwa namb yake nikamuelekza kweny setting ya wasap abadil namb atoe yangu aweke yake
Sijiu kafanyaje fanyaje kabadilisha account kabisa sasa picha zangu zimefutika zote Kwa yotote anaeweza anipe maelekez kama kuna uwezekano wa kuzirudisha
Polen kwa uandish mbay sipo vizur sana kwenye uandish nawasilisha
 
Habar ya humu kama kichwa kinavyojieleza naomba mnipe maelezo wapendwa nilimpa sim yangu mdog wangu siku futa chochote nilivyompa sasa akawa anatak kutumia wasap kwa namb yake nikamuelekza kweny setting ya wasap abadil namb atoe yangu aweke yake
Sijiu kafanyaje fanyaje kabadilisha account kabisa sasa picha zangu zimefutika zote Kwa yotote
anaeweza anipe maelekez kama kuna uwezekano wa kuzirudisha
Polen kwa uandish mbay sipo vizur sana kwenye uandish nawasilisha
Ingia playstore search photo recovery zitakuja nyingi chagua moja install irun italeta pics kibao tick unazotaka zirudi then recover.
 
POLE SANA...NENDA PLAYSTORE DOWNLOAD APPS INAITWA PHOTO INA RANGI NYEKUNDU UKISHA IPATA HIYO APP INGIA SIGNUP KISHA ITAKUSAIDIA KUHIFADHI PICHA ZAKO ATA KAMA UTAZIKOSA.
 
Kwanini usiruhusu gallery yako iwe ina sync na google drive na kufanya back up.
Yani hutopoteza picha na ukibadili simu yoyote unafanya kuweka email yako picha zako zinakuja kwenye sim nyingine kama ilivyo kwa majina
Mie kweny mambo hay wala sina utaalamu ndugu hebu nipe elimu kidog
 
I guess unatumia android obviously utakuwa na email ya gmail ambayo unaitumia kama account playstore na kama account ya phonebook.
Kama ambavyo ukibadili simu unafanya kuweka email tako ina sync na email yako majina yako yote yanakuja hivyo hivyo unaweka fanya kwa pocha via google drive.
a8af1d2e212cb67516c80da52a814b06.jpg

Nadhani unaiona hiyo app ya google drive, ukiifungua unaweka email yako ya gmail na passowrd then unairuhusu iwe ina sync na gallery na ku upload pics na docs zako kwenye email.
Kwakuwa bundle ni adimu unaweza zuia isifanye automatically mpaka uiruhusu au ifanye ili detect wifi.
So kila picha ma docs mpya copy yake itahifadhiwa kwenye google drive hata ukibadili simu wafanya kuweka email na passowrd yako kwenye google drive pics zako zaja hata ukiwa kwenye laptop we ni email na password utapata picha zako.
7d9962c356aa64d60192bc182c2d817f.jpg

Mfano wa picha zinavyokuwa kwenye google drive ni hivyo.
Hizo picha zina miaka mitatu na nimeshabadili na kupoteza zaid ya simu nne isingekuwa google drive ningeshazipoteza.
 
Shukran san
 
Hii elimu mm mwenyewe nilikuwa sina, nimedowlod hiyo Google drive nikaanza kuiaplodi, naambiwa waiting for Wi-Fi, tafadhali msaada
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom