allan_joh Member Joined Apr 20, 2017 Posts 11 Reaction score 10 May 11, 2017 #1 habari wana jamvi!! kuna acount ya mtu instagram imekua hacked,imebadilishwa email iliyotumika kufungulia acount(linked email) na password pia imebadilishwa,user name ndo halijabadilishwa.. msaada wenu tafadhari..
habari wana jamvi!! kuna acount ya mtu instagram imekua hacked,imebadilishwa email iliyotumika kufungulia acount(linked email) na password pia imebadilishwa,user name ndo halijabadilishwa.. msaada wenu tafadhari..