Msaada: Nawezaje kukifunza graphics design ?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,339
Reaction score
4,885
Habari wa teknolojia,

Naomba mnisaidie mawazo na ushauri ni namna gani naweza jifunza designing ya graphics. Kwa sasa ni mwajiriwa kwenye idara ya communication hivyo nimegundua nahitaji sana kuwa mtaalam kwenye graphics ili kuboresha kazi zangu.

Nakaribisha ushauri na mawazo yenu, pia nitafurahi kama mtanishauri na software nzuri ya kufanya design.
 
Ingia You tube search about Graphic design unaweza hata pata pa kuanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…