Msaada: Nawezaje kufanikisha kuhama chuo?

Mende leaf

Member
Joined
Sep 28, 2019
Posts
22
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi ambae nmechaguliwa chuo zaidi ya kimoja ambapo mzazi wangu akacomfirm chuo cha muce ambapo mimi ckitaki kwasababu nataka nibadilishe program kwenda sheria sasa nifanyaje naombeni ushauri kwasababu mzazi kacomfirm kipind mm npo jkt k2hy nkakosa cha kufanya nisaidieni ushauri nn nifanye

mtu aliyesoma BAED anaqeza kufanya kaz katika research cetres?
 
Mimi ni mwanafunzi ambae nmechaguliwa chuo zaidi ya kimoja ambapo mzazi wangu akacomfirm chuo cha muce ambapo mimi ckitaki kwasababu nataka nibadilishe program kwenda sheria sasa nifanyaje naombeni ushauri kwasababu mzazi kacomfirm kipind mm npo jkt k2hy nkakosa cha kufanya nisaidieni ushauri nn nifanye
 
Mimi ni mwanafunzi ambae nmechaguliwa chuo zaidi ya kimoja ambapo mzazi wangu akacomfirm chuo cha muce ambapo mimi ckitaki kwasababu nataka nibadilishe program kwenda sheria sasa nifanyaje naombeni ushauri kwasababu mzazi kacomfirm kipind mm npo jkt k2hy nkakosa cha kufanya nisaidieni ushauri nn nifanye
 
Mimi nmechaguliwa chuo zaid ya kmoja na mzazi wangu akacomfirm muce kipnd nipo jkt mm ninampango nbadilishe program nisome sheria nifanyaj ili nisome ninachokipenda naombeni ushauri
 
Kama upo dar nakushauri uende TCU ila kama upo mbali jaribu kuwasliana na hicho chuo unachokitaka kama katka hiyo kozi nafasi bado ipo then tumia zile code Ku confirm baada ya hapo wapigie muce wakutoe kwenye chuo chao maana hapo utakua umedahiliwa vyuo viwili
 
Back
Top Bottom