Msaada..naweza fundisha hesabu secondary

Msaada..naweza fundisha hesabu secondary

Angellitah

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Guys shule gani hapa dar ya secondary inahitaji mwalimu wa mathematics??help me out please
 
Mkuu kazi hazipatikani kirahisi hivyo, nakushauri pita shule moja mpaka nyingine...
Na pia jitahidi kuchukua namba za simu kwenye matangazo ya hizo shule.
 
Back
Top Bottom