Msaada: Nawaogopa wasichana

Msaada: Nawaogopa wasichana

Joined
Aug 13, 2017
Posts
17
Reaction score
11
Kama heading inavyojieleza,

Mimi ni kijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (muda mwingine hata salamu siwezi kutoa yani domozege)

Basi ninyi kama wana JF wa MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kadhia hii ukiangalia umri nao unasogea.

Nawasilisha
 
usiwaogope.
ni binaadamu kama ww tu
wanakula,wanakunywa, wanaenda chooni
wanalala, wanacheka, wanalia,

ngoja nikupe mbinu hii labda itakusaidia,
ukimwona msichana unamuogopa, mvue nguo zote kichwani mwako. kisha utaona uwoga wote unaondoka.
 
Kama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
Bado sana wewe hicho ni kipindi kitapita ila jitahidi sana puchu isikuzoee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuwaogopa. Najua kuwaogopa huko hakukuzuii kuwa nao kwenye discussion shule au kijamii/kanisani...etc etc.

Natamani kukuambia ujitahidi uendelee kujitunza utaona mafanikio yatakavyokuja kwako kwa wingi.

Mithali 6:32 ilivyosema, "Kila aziniye na mwanamke hana akili kabisa" haikukosea mdogo wangu. Angalia marafiki zako ambao sio madomo zege wanatumia muda gani kwa sasa kufikiria hao wanawake. Its a lot of time, resources and energy ambayo ingeelekezwa kwingine wangekuwa mbali kuliko wanavyodhani.

Vijana wa kiume huwa hatupewi hii elimu. Kijana wa kiume anasifika kwa idadi ya wadada aliotembea nao. Siwezi kukuamulia, lakini be very proud of who you are. Hizo hofu ulizonazo ni mapito tu. Kadri muda unavyozidi kwenda utakutana na binti ambaye hata hutohitaji mbinu za JF kuweza kuzungumza naye. Ni raha sana to let love take its course..mtakutana darasani, kazini, kanisani, barabarani, mtaani...mtaanza kama marafiki na baada ya muda hutohitaji kwenda kozi ya kutongoza, it will be so easy mdogo wangu.

Kama kijana wa kiume, rijali...ni sahihi kuwaza hayo lakini do not dwell in them. Umri huo wako ni umri wa kutengeneza mahusiano ya kukujenga kielimu zaidi. Ukishaanza kuendekeza kutongoza kila binti anayepita machoni pako huwezi tena kuwa na mahusiano mazuri na wadada maana wote utataka kuwavua nguo.

I wish you all the best shuleni kwako..usiogope kuwa domo zege, it is the best thing to happen to you kwa sasa!

[HASHTAG]#blessings[/HASHTAG]
 
Dogo endelea kuwaogopa hivyo hivyooooo....unajua hata naniliuu zao za motoooo, ukiweka kidude chako kinaivia na kukatikia humo humo....

Wanaume wote waliowahi kuweka vidude vyao kwenye vindude vya wanawake washapoteza vidude vyao....

Shauri yako kama na wewe ukijaribu...
Kama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
 
Unavozidi kukua hata confidence inaongezeka, wenzio confidence zao zilikua haraka.kwo wewe elekeza nguvu kwenye masomo
 
Kama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
Ukp wapi tuonane nikupe nondo?

Jamii Forums mobile app
 
Kuna udhaifu utakuwa nao unaokunyima confidence laba sura yako mbaya,una kibamia,hudindishi vzr,huna pesa,hauvai vzr,huna pakuwapeleka ,unekuwa una angalau viwil kati ya nilivyotaja usingewaogopa wasichana
 
Kama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
Je wana wake hawakutongozi? kama ndio na bado una waogopa ,basi jaribu kujiamini ondoa aibu, kama hawa kutongozi na hauogopi wao kuanza kukutongoza, basi jiweke kisharobaro zaidi, angalia wana wake wana penda nini bai na wewe kifanye , halafu watajileta wenyewe.ila nakushauri usiwe na papara kwnye haya masuala, maana hakuna faida sana zaidi ya kutafuta stress na magonjwa .
 
Dogo endelea kuwaogopa hivyo hivyooooo....unajua hata naniliuu zao za motoooo, ukiweka kidude chako kinaivia na kukatikia humo humo....

Wanaume wote waliowahi kuweka vidude vyao kwenye vindude vya wanawake washapoteza vidude vyao.... Kamwambie mdogo wako wa miaka miwili izo story

Shauri yako kama na wewe ukijaribu...
 
Titizo lako ni dogo sana...

Unakosa kujiamini, hakuna kingine... Na hii husababishwa kwa kuwaza kwamba je ukiambiwa no si itakuwa aibu kwako...
hapana... take "No" or "Yes" both as positive answer...

Kingine pia, usijaribu kutongoza kwa sababu umeamua tu kutongoza, tongoza for a reason... (Iwe like, love, lust, admire, want, need haijalishi...)

cc: mahondaw
 
Kuna udhaifu utakuwa nao unaokunyima confidence laba sura yako mbaya,una kibamia,hudindishi vzr,huna pesa,hauvai vzr,huna pakuwapeleka ,unekuwa una angalau viwil kati ya nilivyotaja usingewaogopa wasichana
Duuu hapo mkuuu umefika mbali hujaambiwa vyote hivyo hana amekuambia anawaonea aibu wasichana mleta mada tulizana mimi mwenyewe nilikua naona aibu kwani nilisoma shule za boys kuanzia form one hadi six nimefika chuo nilipata shida sana wakati wa discusion ila ndio sehemu ilionipa cofidence ya kuongea nao maana walikua wakichangia mada jinsi tunavyo bishana nikazoea mpaka leo naongea nao vizuri kwa hiyo jalibu sana kuudhulia discusion hapo ulipo ili hao ulionao wakupe confidence asant sana mtoa mada umenigusa sana na nimekumbuka mbali.

Kasema anaogopa wasichana nami nikatoa reason zinazomfanya mtu akose confidence
 
Back
Top Bottom