Msaada: Naupenda mchezo wa soka

mpenda k

Member
Jul 31, 2014
14
3
Habarini wadau,mimi nina miaka 20 na ninapenda sana mpira naombeni msaada na ushauri wa jinsi ya kupata timu.
 
Nadhani kwa kuwa unapenda sana "k" kama jina lako lilivyo ndo mana hata timu za mtaani kwenu zinakukataa. Suala la msingi kubadilika toka kuwa mpenda k na kuwa mpenda mpira hapo lazima utapata timu tu.
 
k maana yake kabumbu ndugu yangu,ila unanishauri vipi
 
k maana yake kabumbu ndugu yangu,ila unanishauri vipi

Kipige kwanza na timu za mtaani ambazo huwa ni kama daraja la kusonga mbele. Kupitia hizo timu utaonekana na unaweza songa mbele. Samata ni mfano mzuri wa mchezaji aliyepitia njia hii.
 
hapo nimekupata itabidi nifanye hivyo je kuna ulazima wa kuhamishia makazi dar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom