Msaada: Natumia Infinix Smart 6

Wengine wanahifadhi simu kwenye PC jamani
Tusiforce wote wanunue simu kubwa kubwa πŸ˜€
Hahaha πŸ˜‚, swali la kiuchokozi unadhani mtoa mada ana pc!!πŸ˜‚πŸ˜‚

Anyway, utani tu asije akaja nitukana bure
 
Mpaka najiuliza anafanya nini humu.. Huyo inatakiwa aishie FESIBUKU
Nimecheka kinomaπŸ˜‚πŸ˜‚

Me jf niliijua 2017 na nilikuwa naingilia button kiswaswadu nikawa siwezi kucomment ila nikaja kuanza kucomment baada ya kujiunga kwenye smart kitochi mwaka 2022 na saizi naenjoyyy buru burudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…