Shida simu unayotumia ๐๐๐๐๐Habari.
Natumia Infinix smart 6 Nikita kukata simu kwenye display inaonesha rangi nyeusi mpaka akate MTU niliye mpigia.
Nawezaje kuondoa hii??
Weka mbali na usoni/sikioni itawaka yenyewe ili ukate.Habari.
Natumia Infinix smart 6 Nikita kukata simu kwenye display inaonesha rangi nyeusi mpaka akate MTU niliye mpigia.
Nawezaje kuondoa hii??
Acha matusi kaka ๐คฃ๐
Sasa infinix smart 6 mwaka huu kaka daah ni aibu kwa kweli๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌAcha matusi kaka ๐คฃ๐
Me nimemwambia lakini๐๐๐Tafuta hela ununue simu.
Kumbuka huu ni mwaka 2025 kwenda 2026 ishachoka hyo
Azingatie hili.Weka mbali na usoni/sikioni itawaka yenyewe ili ukate.
Saw mwenye aiphoni yako๐ sema huwa hatujisemi ๐๐๐Sasa infinix smart 6 mwaka huu kaka daah ni aibu kwa kweli๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Wenye iphone ndo wenye sifa kuliko viumbe vyote dunianiSaw mwenye aiphoni yako๐ sema huwa hatujisemi ๐๐๐
Ondoa simu unayoitumia.. huji kuuona tena huo weusi unaouzungumzia..Habari.
Natumia Infinix smart 6 Nikita kukata simu kwenye display inaonesha rangi nyeusi mpaka akate MTU niliye mpigia.
Nawezaje kuondoa hii??
Acha kumpa ushauri huo utamlemaza. Huyo asafishe kibubu na mifuko yake akanunue simu ya maana.. aache kutumia mitakataka hiyo.Safisha sensor iliyopo kwenye speaker
Simu ni simu tu hata kama ni ki batani , cha msingi kitumike kuandaa kusudi maalumu ,Acha kumpa ushauri huo utamlemaza. Huyo asafishe kibubu na mifuko yake akanunue simu ya maana.. aache kutumia mitakataka hiyo.
Inaonekana una uelewa mdogo sana kwenye kitu kinachoitwa thamani ya mtu na kitu..Simu ni simu tu hata kama ni ki batani , cha msingi kitumike kuandaa kusudi maalumu ,
Usidharau kitu chochote. Mzee ndugu....
Asafishe sensor ya screen , I hope ni chini ya 10,000. Kote kote hata mtwara ni chini ya 10,000 hivi au hata 5,000 , ...maana simu ikiwa Ina leta shida hiyo , tatizo kuu ni screen sensor tuu
#simu ni simu cha msingi itumike Kwa kusudi maalumu , Infinix , Tecno , Samsung , iphone , red me n.k of the same like are both smartphone. KITACHOTOFAUTISHA NI BRAND TUU