Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Uko wapi?Nina bidhaa itakayokusaidia uyasahau maproblems hayo.
Uko wapi?Nina bidhaa itakayokusaidia uyasahau maproblems hayo.
Unanyoa nywele za kwapani? Jaribu kutumia poda hua inakata jasho la kwapani hasa ukipata ponds poda ya chungwa itakusaidia sana na uongeze usafi zaid na zaidi then urudishe mrejesho yani kila utokapo basi mimina poda makwapani mwako