LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,224
- 11,400
Ushawahi pata constipation au kuharisha muda mrefu??? Nadhani tatizo linaweza kuwa katika njia ya haja kubwa na sio pengine. Inawezekana kuna some leakage ya haja kubwa au ni jasho la matakoni hivo joto ndo linaongeza harufu.ha haaa kiasi. tukiwa naked huwezi isikia hata hapo ndio nashangaa. sijakaa sana kwenye mahusiano kulingana na hali yangu.
Yaan ujana wangu wote hii hali imeninyang`anya.
Nope, His case is different, i know what he is going through, Hapo kuna nguvu za giza, natamani nitoe ushuhuda bahati mbaya sina art ya kuandika story ndefu.Body odour inatokana na natural bacteria kwenye mwili kula jasho letu na wanatoa waste products ambazo ni fatty acid, hizi huleta harufu mbaya.
Sehemu za joto ndiyo hali inazidi kuwa mbaya.
Tafuta antibacterial spray ujipulizie baada ya kuoga
Oga zaidi ya mara mbili kwa siku ukiweza.
Hebu toa ushuhuda mkuu.Nope, His case is different, i know what he is going through, Hapo kuna nguvu za giza, natamani nitoe ushuhuda bahati mbaya sina art ya kuandika story ndefu.
hakuna shida sehemu nyingine yoyote zaidi ya nilipo ainisha kwenye uziUshawahi pata constipation au kuharisha muda mrefu??? Nadhani tatizo linaweza kuwa katika njia ya haja kubwa na sio pengine. Inawezekana kuna some leakage ya haja kubwa au ni jasho la matakoni hivo joto ndo linaongeza harufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kaka mlokole kwa matusi uliyovurumishiwa. Nimefurahi tu ulivyo malizia; I bless u. Ndivyo tunatakiwa tuwabariki wanao tuudhi.Nashukuru kaka, wewe ambaye unaushauri mzuri zaidi umsaidie kunitukana mimi hakutampa msaada yeye, I bless u.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekwenda hospital?hakuna shida sehemu nyingine yoyote zaidi ya nilipo ainisha kwenye uzi
Ndugu mjumbe......Tupo pamoja ndugu mjumbe