Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,528
- 14,025
Wewe Ushimen umeanza lini hizi mapigoGood morning mwali...πββοΈ
Poa vipiGood morning mwali...πββοΈ
Leo nimeelewa kwanini mzee alifanya maamuzi yale 30 years agoHumu humu jamaa mmoja alielezea kesho yake waliaga wote walikuwa wengi
π€£πππππ nimekumbuka yule baba alipataga wageni wengi akaendae kuwalaza hospital ya kata wodini kesho yake waliaga
Find Air b n bWakuu habari za leo,
Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana.
Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel kwa ajili yao.
Hatari sanaπππ nimekumbuka yule baba alipataga wageni wengi akaendae kuwalaza hospital ya kata wodini kesho yake waliaga
ππmzee alitisha sana aisee akaona isiwe tabu wacha tutafute namna! Napenda sana watu wenye maamuzi magumu
Kawe na Mikocheni, ndugu zao kibao wapo. Wapeleke huko, wao inabaki chakula tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] au Magu hostel, wabebanee na dents. LolMabibo Hostel. Omba wanafunzi walale nao kwenye DABO DEKA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka yule baba alipataga wageni wengi akaendae kuwalaza hospital ya kata wodini kesho yake waliaga
Hizo hotel pamoja na YMCA na WMCA zinafanyiwa booking na wazungu miezi kabla ya trip zao kuja Africa si rahisi kupata kwa rush hour.Luther house Bei zao reasonable
Lazima utakuta full booked, wazungu hawasafiri kama mifugo, wanafanya reservation ya trip zao mapema tu.YMCA posta
Umeshawahi kumtafutia mtu au ni story. Ulizosikia kwa watu.Hizo hotel pamoja na YMCA na WMCA zinafanyiwa booking na wazungu miezi kabla ya trip zao kuja Africa si rahisi kupata kwa rush hour.
Labda YMCA ya Moshi ndio unaweza kupata chumba same day.
Kuna jamaa aliniambia hapo Dar kuna watu wana nyumba zao self unakodi na kujipikia mwenyewe, ina kila kitu ndani..Wakuu habari za leo,
Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana.
Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel kwa ajili yao.
Kwa hesabu walizonipa nimewatafutia nyumba tu huko goba na nimewalipia miezi 3 ingawa wao watakaa 1 month tu.Kuna jamaa aliniambia hapo Dar kuna watu wana nyumba zao self unakodi na kujipikia mwenyewe, ina kila kitu ndani..
Mimi sina muda wa story, wewe wa kijiweni endelea na mastory.Umeshawahi kumtafutia mtu au ni story. Ulizosikia kwa watu.