Msaada nataka simu yangu nlonunua tigo ikubali line zote

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,131
8,655
jamani nmenunua sm kutoka tigo shop,sasa nataka iwe na uwezo wa kukubali line zote maana line moja inakubali tigo na line 2,inakubali line yoyote shida ni kwamba 3g,ipo line one tu ambayo ndo tigo ila line no 2,imefungwa 3g msaada,nataka ikubali line zote kwa line 1,au 3g ikubali line zote
 

KANUNUE NYINGINE, RAHISI GHARI
 
kwani haiwezekani kubadili network settings ili unapotaka kutumia line two iweze kupata hiyo 3g option ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…