S service JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 3,118 Reaction score 1,163 Apr 19, 2016 #1 Kama kichwa kinyojieleza nataka install sms hide kama vile shady contact lakini kila niweka hiyo app ,napewa ujumbe kuwa app is not allowed nifanyaje ili niweke hiyo app!
Kama kichwa kinyojieleza nataka install sms hide kama vile shady contact lakini kila niweka hiyo app ,napewa ujumbe kuwa app is not allowed nifanyaje ili niweke hiyo app!
S service JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 3,118 Reaction score 1,163 Apr 19, 2016 Thread starter #2 Wakuu tupien mavitu basi
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,196 Reaction score 11,623 Apr 19, 2016 #4 Volts ndiyo mpango mzima sms zote tu tupa kule daaaa
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 19, 2016 #5 Tumia vault au gosms toleo la zamani ingia google tafuta gosms v5.61
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,754 Reaction score 7,307 Apr 19, 2016 #6 Vault ndiyo habari ya mjini!!
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 19, 2016 #7 ipyax said: Vault ndiyo habari ya mjini!! Click to expand... Tatizo la vault inani bore font yake ni ndogo sana. Bora gosms
ipyax said: Vault ndiyo habari ya mjini!! Click to expand... Tatizo la vault inani bore font yake ni ndogo sana. Bora gosms
baba kayla Member Joined Mar 28, 2016 Posts 78 Reaction score 42 Apr 20, 2016 #8 Hyo ya kuhide sms inakuaje?
jem_the_great JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 289 Reaction score 159 Apr 20, 2016 #9 Kuna app inaitwa private space..hii una hide had icon yenyew..iko poa sana
baba kayla Member Joined Mar 28, 2016 Posts 78 Reaction score 42 Apr 20, 2016 #10 Vp kuhsu ile flash message inayopatkana nokia phone nayo inapatkana kwa android?