CHELSEA SIMBA 7
Member
- Oct 27, 2017
- 57
- 84
Huwezi pata kazi huku
My wife tobe kumbe umeharibu mimba yangu dah!Dada ile mimba yako ulisema unahisi imeharibika, vipi ulijifungua salama
[emoji26]Huwezi pata kazi huku
Asante kaka lakini niliskia engineers unaweza ingia moja kwa mojaHuko pagumu kuingia ndugu yangu pamekuwa kama Gold but jaribu kuomba nafasi ya Jkt uanzie kuingia huko miaka 2 baada ya hapo ndio unaajiriwa huko
Duh! Wote hao wifeWewe ni Ramadhan Ndijuye, Ramadhan Jumbe au ni Mme wangu Benaldinho Mgimbwa
Kaka kwann wataka kunijua jina tena.Wewe ni Ramadhan Ndijuye, Ramadhan Jumbe au ni Benaldinho Mgimbwa
Aisee nembo ya SAUT, imenikumbusha mbali sana. Those days za Fr kitima.Huko pagumu kuingia ndugu yangu pamekuwa kama Gold but jaribu kuomba nafasi ya Jkt uanzie kuingia huko miaka 2 baada ya hapo ndio unaajiriwa huko
Kaka kwann wataka kunijua jina tena.
Nipe msaada wa hizo procedures za kufuata
Haya kakaIngia kwanza JKT ukisikia nafasi za usajili zimetangazwa
Kwa mapenzi kabisa tena ya kweliMKUU HUKO UNAENDA KWA MAPENZI AU HAKUNA NAMNA
SAWA MKUU WAIT WAJUZI WAJE HAPA ILA SI UNAJUA SASA HVIE KUJUANA KWINGI KUMBUKA NA HILO PIAH AU UNGEOMBA HATA INTERSHIP KWENYE MAKAMPUNIYA TELECOMMUNICATION KUKUZA TAALUMA YAKO KWANI YEW AR FRESH FROM SCHOOL UKIENDA HUKO TAAALUMA YAKO ITASINZIAKwa mapenzi kabisa tena ya kweli
Hahahaa nataka niwe mjeda sio kulisha mbu aiseeUnataka ukarishe mbu