Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
Sijajua utaratibu wa 2018ninavyojua amigo wako ukifika tanzania lazima ulipe kodi TRA, inategemea na thamani ya $ ya nchi husika ndio utajua unahitaji sh ngapi
Mkuu pitiaHivi nianzeje kununua bidhaa kutoka nchi za ughaibuni (China,Dubai,Japan nk)? Pia nianze na shilingi ngapi? Je njia hiyo ni salama? Niko mikoani je mzigo utanifikiaje? Nataka kuuza electronics Je kuna ushuru natakiwa kulipia bidhaa kabla au baada ya kupokea bidhaa? Je naweza kupata mzigo kama nilivoagiza? Je bei ya online inakuwa ndogo kuliko ya hapa nchini?
wowSijajua utaratibu wa 2018
Ila before hapo mzigo unatoka China wanauterm as a gift na unakuwa tax free
Kupitia posta.
Ilipitia wapi?wow
mimi nilinunua used radio kwa $20 ebay ilivyofika bongo nililipia ushuru zaidi ya pesa niliyonunulia hahaha, na hapo ilikuwa imetumwa na rafiki anaeishi UK.
yes DHLIlipitia wapi?
Kama ni DHL lazima wakukate
Pole aiseeyes DHL
pia niliwahi nunua lotion online bado posta walichaji ushuru qnikalipe TRA hahah
Asant mkuuSijajua utaratibu wa 2018
Ila before hapo mzigo unatoka China wanauterm as a gift na unakuwa tax free
Kupitia posta.
Asant mkuu
labda aisee. luck you.Pole aisee
Labda nilikuwa nabahatika ila niliwahi kuorder kama mara sita na sijakatwa tax
nimenunua pressure machine alibaba je watanipigia simu posta au utaletwa kwenye box nililojazaPole aisee
Labda nilikuwa nabahatika ila niliwahi kuorder kama mara sita na sijakatwa tax
Posta wanatuma ujumbenimenunua pressure machine alibaba je watanipigia simu posta au utaletwa kwenye box nililojaza
vipi ulipokea mkuu mzigo wakonimenunua pressure machine alibaba je watanipigia simu posta au utaletwa kwenye box nililojaza
yes siku 14 tu ilitumia kufika na kuchukua sikulipa kitu.vipi ulipokea mkuu mzigo wako
We ulibug DHL usafirishaji wao so expensive kusafirisha mzigo wa sandles pair 202 zile za kimasai zenye kilo 73 ni 1.84 milion na hapo uzuri zinaingia kule zikiwa free from tax kwa makubariano ya AGOA la sivyo mtu unakomayes DHL
pia niliwahi nunua lotion online bado posta walichaji ushuru qnikalipe TRA hahah
ulitumia posta na ulipigiwa simu?yes siku 14 tu ilitumia kufika na kuchukua sikulipa kitu.
nilitumia posta sikupigiwa simu niliona kwenye tracking kuwa umefika posta nikafuata kesho yake nikapewa mizigo yangu miwili chaja za macbook na bp mashine zile digital nililipia 2500 pale posta. ila kuna wengine wanapigiwa simu au unatumiwa meseji na system automaic ila zinaweza jam ukiona mzigo wako umefika ww nenda tu posta.ulitumia posta na ulipigiwa simu?