Kifupi ili uweze kutumia 4G kwa mtandao wowote :
1.Uwe na simu yenye uwezo wa kusapoti 4G
2.Uwe na laini ya simu ya mtandao husika inayosapoti 4G
3.Eneo ulilopo lazima liwe na minara ya simu inayo-facilitate 4G i.e 4G ipo baadhi ya mikoa Tanzania.
Kikikosekana kimojawapo, 4G haiwezi kufanya kazi kwenye simu yako, bila kujali mtandao unaotumia.
Mimi.. ninashukuru