mkosa shingo
Member
- Jan 26, 2021
- 93
- 127
Fani ya hotel.Nina milion mbili tu kwa sasa.lakini nilikua nataka nipangishe nyumba yangu hiyo kodi ndio nipange huko.Yaani nataka nipotee kabisa mtu asijue nipo wapi sitaki wajue nipo wapi nahisi huko mbali moyo wangu utatuliaUna fani gani?
Una pesa inayokutosha kuhudumia watoto wawili kwa mda gani kama hutapata kazi?
Kuna issue za work permit?
Inconveniences ni nyingi sana nakushauri baki bongo, hama mkoa tu, mbona ipo mingi tu
kampala starehe ni kuanzia j3 mpaka j3 japo hili halina umuhimu kwako
Upo mkoa gani? Usikurupuke kwanza. Ungekuwa peke yako milioni mbili n nyingi ila kwa kuwa una watoto wawili hiyo hela haitoshi.Fani ya hotel.Nina milion mbili tu kwa sasa.lakini nilikua nataka nipangishe nyumba yangu hiyo kodi ndio nipange huko.Yaani nataka nipotee kabisa mtu asijue nipo wapi sitaki wajue nipo wapi nahisi huko mbali moyo wangu utatulia
Dar kwa Kampala starehe kwa mie naona bado sana ......wale jamaa kila siku ni weekendHivi kampala inazidi starehe dar kweli?maana dar watu wanakula bata sana
Yaani nimechoka kila kitu hakiendi.nashinda nimelala.hii sehem nimechoka.Nahitaji kwenda mbali ambapo watu siwajui kabisa nianze mojaUpo mkoa gani? Usikurupuke kwanza. Ungekuwa peke yako milioni mbili n nyingi ila kwa kuwa una watoto wawili hiyo hela haitoshi.
Tafuta kazi Zanzibar kwa hiyo fani.. ila kwa kipindi hichi cha Covid19 risk ni kubwa sana.. halafu hiyo hela ndogo..Fani ya hotel.Nina milion mbili tu kwa sasa.lakini nilikua nataka nipangishe nyumba yangu hiyo kodi ndio nipange huko.Yaani nataka nipotee kabisa mtu asijue nipo wapi sitaki wajue nipo wapi nahisi huko mbali moyo wangu utatulia
Milioni mbili labda angekuwa mwenyewe hakafu ana uhakika tayari wa ajira huko.. lasivo hii decision sio optimalUpo mkoa gani? Usikurupuke kwanza. Ungekuwa peke yako milioni mbili n nyingi ila kwa kuwa una watoto wawili hiyo hela haitoshi.
Zanzibar ndugu wamejaaTafuta kazi Zanzibar kwa hiyo fani.. ila kwa kipindi hichi cha Covid19 risk ni kubwa sana.. halafu hiyo hela ndogo..
Nenda Zanzibar mkuu achana kuvuka border sahiv tena na family
AsanteUko mbali. Toka tu nje kidogo ya mkoa uliopo kuna mapori kibao nenda ishi uko pekeako na wanyama if u like perfection.
Mkoa siwezi tajaUpo mkoa gani? Usikurupuke kwanza. Ungekuwa peke yako milioni mbili n nyingi ila kwa kuwa una watoto wawili hiyo hela haitoshi.
Angalia Moshi au Arusha nako si kuna hotel?Zanzibar ndugu wamejaa
Njoo ifakara tulime mpunga hutojutia huku unakutana na wapogolo na wandamba tu .Fani ya hotel.Nina milion mbili tu kwa sasa.lakini nilikua nataka nipangishe nyumba yangu hiyo kodi ndio nipange huko.Yaani nataka nipotee kabisa mtu asijue nipo wapi sitaki wajue nipo wapi nahisi huko mbali moyo wangu utatulia
Asa utampangishia selentine au viwanja sitini. ?? Au mlabaniNjoo ifakara tulime mpunga hutojutia huku unakutana na wapogolo na wandamba tu .
Mkuu pole sana kwa yanayokukumba,ila nadhani unaugonjwa furani unaitwa the fear of the unknown, plus stress, tuliza akili Tanzania kubwa sana haina haja ya wewe kwenda Kampala.Fani ya hotel.Nina milion mbili tu kwa sasa.lakini nilikua nataka nipangishe nyumba yangu hiyo kodi ndio nipange huko.Yaani nataka nipotee kabisa mtu asijue nipo wapi sitaki wajue nipo wapi nahisi huko mbali moyo wangu utatulia