Habari wanajamvi,
Nataka kumfunfulia saluni Dogo aweze kupata riziki ya kila siku....hana uzoefu na biashara hii ingawa anapenda. Hivyo Tafadhali mwenye uzoefu a-share nasi hapa kupata ujuzi zaidi.
Gharama za vitendea kazi kama dryers za chini na juu....stemer(spelling)
Viti vioo nk nk
Kipi muhimu sana
Kwa saluni za kileo nini kiwepo kipi kisiwepo
Shukrani
Malipo ya wafanyakazi au makubaliano mnafanyaje