Mada inahusu namna ya kuanzisha kampuni ya ulinziHuu uzi umenikumbusha kitambo Sana.
Nakumbuka nilikua naogopa Sana bunduki.
Ma Askari walipo kua wamakabidhi silaha kutoka ma lindoni.
Wakati wa kuandikishiana makabidhiano ya bunduki nilikua naogopa Sana bunduki.
Badae nilikuja kuzoea mpaka leo hii Huwa siogopi mtu akiwa ameshikilia bunduki karibu yangu.
Nili enjoi Sana kuwa taasisi ya kijeshi.....pale Ni neno Moja tu.... Unaitikia......WAZI AFANDE
NILI HUSIKA SANA KWENY MAMBO MENGI KU RECRUIT, KUPANGA OFF ROSTER.
Pia Kuna kuibiwa malindoni.
Kuna kisa kimojaa kilitokea kilisisimua sanaa.
Kuna bwana mdogo mmoja royal na humble raia alikuja kuomba Kazi ya ulinzi.
Nakumbuka nilimfanyia recruitment tukamchukua huyu dogo nilizoea kumpanga Kwa RPC Mmoja lindo la Mchana pia kwa Director mmoja wa shule.
Mkasa ulianza ivi huyu dogo tulimwamisha akapelekwa kweny lindo la hardware Moja kubwa.
Ipo barabarani na Kuna full camera.
Nikiwa njian kwenda ofsn napokea simu kutoka KWA director wangu kunatukio kimetokea.
Kufika eneo la tukio hakuna palipo vunjwa kweny eneo la mbele la hardware ambalo Askari wetu alikua analinda.
Nyuma ya hardware KULIKUA na ukuta mrefu na umeunganika na ukuta wa nyumba ya familia Moja.
Nyuma ya hardware KULIKUA na mlango mmoja heavy sanaaaa.
Tunaenda kweny jicho la mwewe.
Tukiwa Na maAskari polisi....picha lina Anza.
Ilikua Usiku wa kuamkia Jumapil majira ya saa 7
Jamaa mmoja asiye juliana anaonekana anatumbukia kweny ukuta.
Alipofika chini Cha kwanza akavaa mask yake.
Camera zinaonyesha clear Ila black & white
Then anaonekana ameenda pembeni ya ukuta dakika Chache akaenda kweny ule mlango heavy akagusagusa sekunde Chache anaonekana yupo ndani.
Camera za ndani zinaonyesha akienda direct counter na kufungua fungua ma drow akaonekana akachukua kitu na kutoka haraka akipenya alipo ingilia Na ule ukuta mrefu sijui aliruka vp.
Ntaendelea jioni ngoja Ni ingie kulitumikia taifa.
Kufungua silaha na kufunga hata mgambo anafundishwa, JKT wa kujitolea anafundishwa pia na hata makampuni binafsi ya ulinzi kwa kushirikiana na polisi walinzi wao hufundishwa silaha.Punguza ujuaji bwege wew jamaa kasema atanichek Dm...
Unajifanya mjuaaji kumbe your insane....
Umewashwa nini KUSOMA Maoni yangu...naona bando lako linakuwasha
Kwanza uo ubavu wa kuanzia kuwapangia JF EXPERT MEMBER
cha kuongea
unaupatia wap wakati wewe ni SINIOR MEMBER ....
Naomba nije inbox kwa ushauriNauzoefu wa muda mrefu kwenye hii sector
Ndio ilikua Kazi yangu ya kwanza nilipo maliza CHUO KIKUU...........
Ilikua Ni kampuni ya ulinzi iliyo anzishwa na captain mstaafu wa JWTZ
Baba ake Rafiki yangu nilie soma nae advance level......
Katika umri mdogo niliaminiwa na kupewa high post..........
Ukiitaji msaada na ushauri nipo.
KaribuNaomba nije inbox kwa ushauri
Wazungu wanasema "NEVER ARGUE WITH STUPID PEOPLE, THEY WILL DRAG YOU DOWN TO THEIR LEVEL AND THEN BEAT YOU WITH EXPERIENCE"Kufungua silaha na kufunga hata mgambo anafundishwa, JKT wa kujitolea anafundishwa pia na hata makampuni binafsi ya ulinzi kwa kushirikiana na polisi walinzi wao hufundishwa silaha.
Alafu kuhusu bando mimi si tumii bando la kuunga unga amka hata saa nane usiku utakuta ID yangu iko online siku 31 kwa mwezi anza leo kufanya utafiti wako. Nimekukumbusha kistaarabu kuwa mleta mada anahitaji kuelezwa namna ya kufungua kampuni ya ulinzi. Kwa kuwa huna unalolijua mbulula wewe unakimbilia kutukana, matusi ni dalili za mtu aliyekosa hoja. Na kujiita JF Expert kwani tofauti yake nini na mtu ambaye amejiunga JF leo, kinachohitajika ni uwezo wako wa kuchanganua mambo na si muda wa kukaa JF.
Niko humu miaka mingi mno ila tu utaratibu niliyojiekea ikifika kipindi fulani nabadilisha ID maisha yanaendelea.
Your warmly welcome.Naomba nije inbox kwa ushauri
Nahitaji kuanzisha company ya Ulinzi nipigie au naomba namba yako 0711431980 nipo Njombe ImmaMkuu njoo pm
Kuna mengi naweza kukusaidia
But is headache
Wewe hata hiyo kampuni ukianzisha hauta breakeven yaani umeshindwa kuona namba ya simu hapo, unaomba tena namba ya simu? Alafu usifikirie biashara ya kampuni ni rahisi hivo, kwenye soka unaenda kukutana na magiant ambao bima zao tu ni asilimia 200 endapo kuna mali itaibiwa au kupotea na ikayhibitika ni uzembe wao. Sasa wewe kampuni yako utaenda kumchaji mteja shilingi laki 2 alafu mlinzi imlipe laki moja bado hujamshonea uniform.Nahitaji kuanzisha company ya Ulinzi nipigie au naomba namba yako 0711431980 nipo Njombe Imma