Msaada Nataka kuanzisha Cable tv

Msaada Nataka kuanzisha Cable tv

TEGEMEA

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
369
Reaction score
56
Wadau nataka kuanzisha cable tv.Nina umeme nyumbani nina receiver mbili.je nahitaji nini kingine ili nianzishe cable tv?.Nina uhakika wa kupata wateja 50 wa kuanzia.nawasilisha.
 
Nipo kijijini sana mtaalam ymollel.

hahaha , sawa mkuu. sasa hapo kwanza wateja wako hawatakuwa na option ya kubadili channel. watalazimika kuangalia channel uliyoiseti kwa wakati huo. Sijui unatumia receiver za aina gani?
 
Back
Top Bottom