luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,985 Dec 20, 2020 #61 King klax said: Mkuu kwa mfano naona wanaandika bei ya Tanzania inakuwaje bei ni ile ile au!!! Mfano huo ukiagiza ni bei hiyo hiyo au??View attachment 1647906View attachment 1647908 Click to expand... Kuna uzi flan jamaa mmoja alifafanua vizuri jinsi posta wanavyo piga hesabu za kodi kwa vifurushi vizito kama hiyo mi bidhaa uliyo weka mzee
King klax said: Mkuu kwa mfano naona wanaandika bei ya Tanzania inakuwaje bei ni ile ile au!!! Mfano huo ukiagiza ni bei hiyo hiyo au??View attachment 1647906View attachment 1647908 Click to expand... Kuna uzi flan jamaa mmoja alifafanua vizuri jinsi posta wanavyo piga hesabu za kodi kwa vifurushi vizito kama hiyo mi bidhaa uliyo weka mzee
nadduh New Member Joined Aug 28, 2023 Posts 2 Reaction score 1 Aug 31, 2023 #62 Baba Rhobi said: shukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu. Click to expand... Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo
Baba Rhobi said: shukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu. Click to expand... Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,856 Reaction score 3,390 Aug 31, 2023 #63 nadduh said: Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo Click to expand... Na bei ya vitu vyao iko juu kuliko AliExpress pia, na wao ndo mabingwa wa kuuza vitu vibovu na used, vipya vichache sana.
nadduh said: Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo Click to expand... Na bei ya vitu vyao iko juu kuliko AliExpress pia, na wao ndo mabingwa wa kuuza vitu vibovu na used, vipya vichache sana.
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,201 Reaction score 10,134 Aug 31, 2023 #64 0ozg Tz said: Pia zpo kwenye app ya kikuu huko ni rahisi kununua kuliko aliexpress Click to expand... Bora Aliexpress.. Kikuu ni gusa unate and they don't care na ukibahatika kupata kitu halisia shukuru MUNGU sana.
0ozg Tz said: Pia zpo kwenye app ya kikuu huko ni rahisi kununua kuliko aliexpress Click to expand... Bora Aliexpress.. Kikuu ni gusa unate and they don't care na ukibahatika kupata kitu halisia shukuru MUNGU sana.
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Aug 31, 2023 #65 nadduh said: Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo Click to expand... Kikuu labda kama ndo unaenda kujifunza kuagiza [emoji1] Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
nadduh said: Kikuu ndio rahisi unaletewa hadi mlangoni Kwa dar sijui mikoa mingine ila ali express huletewi mpaka ulipo Click to expand... Kikuu labda kama ndo unaenda kujifunza kuagiza [emoji1] Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app