Mkuu hilo la postal code mim nalijua...sasa huyo mdau kasema Tanzania tuna mfumo wa zip code na katoa zip code ya tz..ndo nmemwambia aweke link ambayo ni official inayosema Tanzania ina zip code na ni hiyo aliyo iweka yeyeKwenye zip code jaza post code ambazo ni tofauti kwa kila mkoa na kila kata post code yako ipo kwenye kitambulisho Chako cha nida baada ya mwaka wa kuzaliwa 20000718-postcode-00
Ok nimeelewa sasaMkuu hilo la postal code mim nalijua...sasa huyo mdau kasema Tanzania tuna mfumo wa zip code na katoa zip code ta tz..ndo nmemwambia aweke link ambayo ni official inayosema Tanzania ina zip code na ni hiyo aliyo iweka yeye
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Naomba official source ya hii zip code kwamba ni ya Tanzania
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Link sina Boss, labda nimpange mkulu aweke taarifa za Nchi kwa Mabeberu ili waziingize googleMkuu hilo la postal code mim nalijua...sasa huyo mdau kasema Tanzania tuna mfumo wa zip code na katoa zip code ya tz..ndo nmemwambia aweke link ambayo ni official inayosema Tanzania ina zip code na ni hiyo aliyo iweka yeye
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hizi zip code kwa nchi nyingi za Africa ambapo Kuna Makazi holela hamna, nafikiri hizi ndiyo zile ambazo unaletewa parcel yako mlangoni, we komaa na postcodeLink sina Boss, labda nimpange mkulu aweke taarifa za Nchi kwa Mabeberu ili waziingize google
Hata Posta ukitaka wakuletee hadi mlangoni pia wanafanya hivyo, au hukusoma zile msg mbili nilizozi screenshot?Hizi zip code kwa nchi nyingi za Africa ambapo Kuna Makazi holela hamna, nafikiri hizi ndiyo zile ambazo unaletewa parcel yako mlangoni, we komaa na postcode
Sisi tuna postal code..zip code kwa ujenz wa tandale wapi na wapiLink sina Boss, labda nimpange mkulu aweke taarifa za Nchi kwa Mabeberu ili waziingize google
Shipping itakatwa na ali Express,kodi inategema kama mzgo haupo kweny kodi utapata bure...kama upo kweny kodi utakatwa kodiWakuu inamaana ukiagiza mzigo ile shipping cost wanakata aliexpress na kitu kikifika pale posta tena unalipia kodi?Naombeni mnieleweshe hasa ukitumia standard shipping ya aliexpress
Mfano simuShipping itakatwa na ali Express,kodi inategema kama mzgo haupo kweny kodi utapata bure...kama upo kweny kodi utakatwa kodi
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Zip code ni 00000wakuu mnisaidie kwenye zipcode unajaza nini mi niko dodoma makuru
Simu kuna watu wanalipia 2300 hadi 5900 na wengne ni bure kabisa... inategemea na posta yakoMfano simu
Sio kweli nisha agiza vitu ving kupitia Ali express na sina box Jana nimetoka kuchukua flash ya 64 GB hi ni kma ya 4 hivi, pale nimeweka namba ya simu na mkoa nilipo na wilaya ivyo jana walinipigia simu nikaenda chukua na kitambulisho cha nida so sio lazima uwe na sanduku la postKama huna sanduku la Posta usiagize kabisa. Ile notification ya kupokelea mzigo huwekwa kwenye box lako.
Kwa hiyo mtaalam una sema shipping method ambayo ina track posta hawa charge ushuru ?Kawaida Posta huwa wanacharge parcel zote ambazo ni untracked hapo kikubwa huwa ni kucheza na shipping method tu.
Sent from my Mi A3 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa mfano naona wanaandika bei ya Tanzania inakuwaje bei ni ile ile au!!!Sio kweli nisha agiza vitu ving kupitia Ali express na sina box Jana nimetoka kuchukua flash ya 64 GB hi ni kma ya 4 hivi, pale nimeweka namba ya simu na mkoa nilipo na wilaya ivyo jana walinipigia simu nikaenda chukua na kitambulisho cha nida so sio lazima uwe na sanduku la post
Bei ndio iyo unayo iyona apo ambayo imetoka kwenye dola ipo in TzshilingMkuu kwa mfano naona wanaandika bei ya Tanzania inakuwaje bei ni ile ile au!!!
Mfano huo ukiagiza ni bei hiyo hiyo au??View attachment 1647906View attachment 1647908
Bei ndio iyo unayo iyona apo ambayo imetoka kwenye dola ipo in Tzshiling
Hapana umuhimu wowote.Wewe jaza hapo namba yoyotewakuu mnisaidie kwenye zipcode unajaza nini mi niko dodoma makuru
lazima uwe na sanduku la posta.Kama huna sanduku la posta tumia la mtu mwinginena vipi kama huna sanduku la posta inakuaje nisaidie mkuu nataka kuagiza simu huko
Sio kweli, mi sina sanduku la posta naagiza bidhaa kama kawaida, zikifika post office (posta mpya) natumiwa msg na namba ya mzigo nikauchukuelazima uwe na sanduku la posta.Kama huna sanduku la posta tumia la mtu mwingine