Ukitumia standard shipping Posta hawachajiUtaipokelea POSTA na huenda ikapitishwa CUSTOM ili kulipa ushuru na kodi ya ongezeko la thamani. Vile vile Posta wanachaji gharama ya kukupokelea huo mzigo TZS 5,900. Nimesema "huenda" maana kama thamani ya kifurushi ni ndogo hawapeleke "Customs"
Standard shipping ambayo haina "TRACK" namba hiyo uwezekano wa kifurushi kupotea ni mkubwa
Sio lazima uwe na sanduku la posta...unajaza postcode tu vizuri na namba yako ya simuKama huna sanduku la Posta usiagize kabisa. Ile notification ya kupokelea mzigo huwekwa kwenye box lako.
Bongo hatuna mfumo wa zip code... tunatumia postal code...postal code ya kila wilaya ni tofautmkuu zip code hua inajazwaje et
Sio gurenteed...kuna small packet via Standard shipping na zinalimwa kodi kma kawa... inshort kodi imekua kama bahat nasibu hapa bongo
Kawaida Posta huwa wanacharge parcel zote ambazo ni untracked hapo kikubwa huwa ni kucheza na shipping method tu.Sio gurenteed...kuna small packet via Standard shipping na zinalimwa kodi kma kawa... inshort kodi imekua kama bahat nasibu hapa bongo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Mimi sina sanduku la posta uwa naagiza naweka fake address uwa mzigo ukifika wanatuma msg kuwa ukachukue mzgo wako. Ila usifuate maneno yangu ila mimi nishaagza vitu vingi na sanduku la posta sina japo uwa anweza sanduku la pastor flani lakini hajawahi tokea wakaingiza mzigo kwenye hilo sandukuna vipi kama huna sanduku la posta inakuaje nisaidie mkuu nataka kuagiza simu huko
ok asante boss kwa ushauri kidogo ningeingia mkenge.
shukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu.Asilimia kubwa tunaagiza na hatuna sanduku la posta.
Weka namba ya simu na mahali unapoishi au unapotaka kupokelea( kwa mfano Dar kisutu na namba ya simu) utatumiwa sms mzigo ukifika posta ya hapo karibu.
Utaenda na kitambulisho chako (leseni au Nida au Kura....)
Utalipia sorting fee kuanzia 1200 hadi 5900
Uta sign kupokea mzigo
Yaani kikuu achana nako kabisa. Aliexpress ndio mpango mzima.shukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu.
Mimi sina sanduku la posta na huwa naagiza kama kawaida mzigo wangu ukifika posta natumiwa sms, nmeambatanisha na ushahidi kabisa huo mzigo nimeuchukua jana, hivyo wasikutishe umakini unatakiwa kule Aliexpress, nunua kwa seller mwenye positive feedback za kutosha, ni mwaka wa tatu huu naagiza bidha Aliexpress na hakuna mzigo uliowahi kupotea wala kuletewa kitu fakeok asante boss kwa ushauri kidogo ningeingia mkenge.
Sio kweli postal zip code zina tofautiana kutokana na eneo kwenye id yako ya nida pale kwenye zile namba tano zonazofuatiwa basda ya particular/details zako za kuzaliwa ndio zip code , au piga 152 , 00 . Nyota na reli zizingatiwe utaipatqZip kodi kwa Tanzania ni 255
Country Zip Code iko kwenye kadi ya NIDA?Sio kweli postal zip code zina tofautiana kutokana na eneo kwenye id yako ya nida pale kwenye zile namba tano zonazofuatiwa basda ya particular/details zako za kuzaliwa ndio zip code , au piga 152 , 00 . Nyota na reli zizingatiwe utaipatq
Hii sio zip codeZip kodi kwa Tanzania ni 255
Ile ni postal code..na ndiyo inayotakiwa... bongo hatuna mfumo wa zip codeCountry Zip Code iko kwenye kadi ya NIDA?
hamna kikuu mbona wapo safi tushukrani mkuu ngoja nichangamke niagize make nlitaka kuagiza kikuu, ila watu wakanambia wazinguaji ngoja nihamie aliexpress tu.
Tunao, ZIP CODE ni 11000Ile ni postal code..na ndiyo inayotakiwa... bongo hatuna mfumo wa zip code
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Naomba official source ya hii zip code kwamba ni ya TanzaniaTunao, ZIP CODE ni 11000
Kwenye zip code jaza post code ambazo ni tofauti kwa kila mkoa na kila kata post code yako ipo kwenye kitambulisho Chako cha nida baada ya mwaka wa kuzaliwa 20000718-postcode-00Naomba official source ya hii zip code kwamba ni ya Tanzania
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app