Msaada: Nataka ku-restore simu yenye password (sio smartphone)

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nitawezaje ku restore cm ambayo sio smart phone ili niweze kutoa password? Maana kuna mtu alikuwa anaichezea matokeo yake akai lock kabisa! Aina ya cm ni tecno ila ni ya keypad co smart phone! Msaada plz
 
Ni tecno fln hv ambazo co smart phone ni hz cm za kawaida za tsh 40 elf
 
Nitawezaje ku restore cm ambayo sio smart phone ili niweze kutoa password? Maana kuna mtu alikuwa anaichezea matokeo yake akai lock kabisa! Aina ya cm ni tecno ila ni ya keypad co smart phone! Msaada plz

Very simple! hebu fanya hivi: iweke ndani ya friji dkk 45 then itoe tatizo litakuwa limeisha
 
aisee,hata mimi simu yangu aina ya Itel imejilock,kuna dogo ameingiza password zaidi ya mara 7 sijui namna ya kui unlock
 
Kama ni nokia namba huwa ni 12345 kama hazijabadilishwa, samsung ni 1234, mchina zina code tofaut tofaut
Zaid kaflash kwenye kompyuta
 
Pasword jarbu 1234 au 1122 au 0000 ndo hizo wanatumia kwa tecno
 
Hizo password kama zimebadilishwa huwezi kuzipat tafta comp au pelekea fund......Ni buk 5 hadi 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom