Msaada nataka ku appeal mitihani ya taifa

Msaada nataka ku appeal mitihani ya taifa

hahahaha

wakati tunasoma nyie mnanyoa viduku na kuvaa milegezo.

its a pay back time, NA BADO.
 
J.e.s.c.a mkubwa wewe kumbe umefeli six unaanza sumbua wenzio kwa nyuzi zako za kutafuta kiki za kipuuzi

Nilifikiri huyu mkuu anasubiri kwenda MUHAS. Sidhani kama yuko serious.
 
images.png
 
Naenda Muhas kama kawa na marks zangu hizi

Phys -C

Chem- A

Bios - B

Bam - B

Gs- F

Nilikuwa nataka ku appeal phys hawakunitendea haki
umefungua id mpya.?

utapapatika sana, lakini chuo huendiiiiiiiiiii!!!
 
Naenda Muhas kama kawa na marks zangu hizi

Phys -C

Chem- A

Bios - B

Bam - B

Gs- F

Nilikuwa nataka ku appeal phys hawakunitendea haki
Unaweza kuwa kweli unakwenda MUHAS (in whch case congratulations)-lakini posting zako hazionyeshi kama uko serious. Ukipost kitu watu watachukulia kimzaha mzaha. Hata kama hatutumii majina yetu tutafakari kile tunachopost. La pili umetumia ID mbili tofauti kwenye uzi huo huo hii nayo haipendezi. Wish you all the best lakini tafakari zaidi.
 
Naenda Muhas kama kawa na marks zangu hizi

Phys -C

Chem- A

Bios - B

Bam - B

Gs- F

Nilikuwa nataka ku appeal phys hawakunitendea haki
Sasa ukipataje four kwa hizo alama

Kujisifu kwako unakosa fursa za kusaidiwa wakati mwingine
 
Sikupata 4 nilipata one ya 6 ila wadau wasingeweza kunielewa ndio maana nikatumia gia ya kupata 4 ili iwe rahisi kusaidiwa
Rekebisha tu tabia zako

Maana unaemdharau humu anaweza kuja kukuajiri kwenye hosipitali yake baadae

Maisha hayana formula
 
Unajua nini ka mkubwa , kuna wadau kipindi tunasoma ukiwaambia wasome wanakudharau na kukwambia maneno ya ajabu sasa mijitu kama hiyo ikifeli utawaambiaje? Si lazima uwacheke? hapa lazima niwacheke wakimaind shauri zao
hahaha

uwacheke au tukucheke?

bwana mdogo angalia usije ukaokota makopo,

safi sana mama waziri wa elimu kwa kuwakomesha vilazar.

heko kwako mama.
 
Unajua nini ka mkubwa , kuna wadau kipindi tunasoma ukiwaambia wasome wanakudharau na kukwambia maneno ya ajabu sasa mijitu kama hiyo ikifeli utawaambiaje? Si lazima uwacheke? hapa lazima niwacheke wakimaind shauri zao
Mkuu makini kuna wanaoenda na pt 3 shule inawakataa, kuwa humble kijana.
 
au sio ,ha ha ha basi poa subirini mshushiwe GPA zaidi maana ndo namna pekee ya kuwasaidia ****** kama wewe ha ha ha
mkuu una roho ngumu sana kama ya paka!!!

umenipa somo kubwa sana.

ukiachilia mbali kufeli kwako necta lakini bado una guts za kufungua biashara na kuendesha miradi ya mzee.

nyie ndo watu tunaowataka, watu wasiokata tamaa.
 
Aisee
 
Back
Top Bottom