Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,653
Naombeni msaada jamani nielekezeni ni njia zipi unapita ili mitihani yako ya taifa isahihishwe upya
Kidato cha sita kiongoziMitiani ya taifa ya kidato cha nne o cha six
Ila kama n cha NNE muda umeshaishaga
Roho inaniuma sana kwa baadhi ya masomo , msaada wako pleaseMitiani ya taifa ya kidato cha nne o cha six
Ila kama n cha NNE muda umeshaishaga
nashukuru ila nimejitahidi kidogo nina 4J.e.s.c.a mkubwa wewe kumbe umefeli six unaanza sumbua wenzio kwa nyuzi zako za kutafuta kiki za kipuuzi
sawa kakaJ.e.s.c.a mkubwa wewe kumbe umefeli six unaanza sumbua wenzio kwa nyuzi zako za kutafuta kiki za kipuuzi
Asante kwa ushauriMuda ulishaisha kwa this year
nielekeze hivyo hivyo huenda nikaambulia hata division 3 ya mwishome ckushaur uapil kwan hutoweza kupata kile unachostahik hakuna kipya kitakacho onekana ktk hayo matokeo yako ukiweza rudia ama nenda diploma
ukitaka kuamini search matokeo ya kuanzia mwaka jana kulud nyima ya kuapil ndo utaona kwamba hakuna kipya zaid ya kuliwa pesa yako
nielekeze hivyo hivyo huenda nikaambulia hata division 3 ya mwisho
mdogo wangu naludia usiapeal ila kama ukitaka kuapeal fuata hayaJ.e.s.c.a mkubwa wewe kumbe umefeli six unaanza sumbua wenzio kwa nyuzi zako za kutafuta kiki za kipuuzi
Asante kaka nishapoa, nilikuwa nishaanza biashara zangu ndogo ndogo ila kuna rafiki yangu akaniambia unaweza uka appeal nikapata moyo kidogo , nimekuwa sina thamani kabisanatambua uchungu wa kufeli.
pole sana mkuu.
Asante kakamdogo wangu naludia usiapeal ila kama ukitaka kuapeal fuata haya
nenda necta watakupa fomu
utajaza idada ya masomo unayotaka kuapeal kumbuka kila pepa 20,000tsh
ukimaliza utaludisha hiyo fomu baada ya hapo watakwambia lini tokeo litatoka
ila nahisi pia ushachelewa kwan nafasi hii huachiliwa pale tokeo linapotangazwa na hudumu kama mwez then hufungwa
Nashukuru kwa mchango wakoSoma diploma appeal Mara nyng wanaliwa tu hela na hakuna cha maana wanachopata soma dip usikate tamaa utakuja kufanikiwa tu .
Asante kaka yote maishaCertificate inakuhusu